JIJI LA MWANZA LAFIKIWA NA HUDUMA ZA INTANETI YA KASI YA TIGO 4G LTE

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Mswanya(katikati) akizungumza na waandishi wa habari jjijini Mwanza jana,kuhusu upatikanaji wa huduma ya Tigo 4G LTE,kushoto ni Meneja wa Tigo 4G LTE Benedict Mponzi na Meneja wa Tigo Kanda ya Ziwa Edgar Mapande.
Meneja wa Tigo Kanda ya Ziwa Edgar Mapande,akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa mkutano huo,kushoto ni Meneja wa Tigo 4G LTE Benedict Mponzi na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Mswanya(katikati).
Meneja wa huduma ya 4G LTE, Benedict Mponzi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) katikati ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Mswanya  na kulia kwake ni  Meneja wa Tigo Kanda ya Ziwa Edgar Mapande   katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mapema jana Jijini Mwanza .


Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Mswanya(katikati) kushoto ni Meneja wa Tigo 4G LTE Benedict Mponzi na Meneja wa Tigo Kanda ya Ziwa Edgar Mapande,wakionyesha kwa waandishi wa habari jjijini Mwanza jana,line za  Tigo 4G LTE,wakati wa kutambulisha upatikanaji wa huduma hiyo Mkoani Mwanza.

Waandisi wa habari wakifuatilia  mkutano huo