PSPF YAPATA WANACHAMA ZAIDI KUPITIA MPANGO WA PSS KWENYE MAONESHO YA AIRTEL BAZAR JIJINI DAR

Hili ndilo Banda ambalo Mfuko wa Pensheni wa PSPF walikuwepo kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwaunga wanachama wapya katika mfuko huo kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari PSS
(Picha zote na Fredy njeje-Blogs za Mikoa)
Watu mbalimbali waliofika katika sehemu ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF wakipata maelezo ya huduma mbalimbali zinazotolewa na mfuko huo.
Mkuu wa Kitengo cha usajili kwa wanachama kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Msafiri Mugaka akitoa maelezo juu ya Mafao mbalimbali yanayotolewa na PSPF
Mmoja wa wanachama wapya waliojiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF kupitia mpango wa uchangiaji wa Hiari PSS akisoma kwa undani fao la Uzazi
Maseka Kadala Afisa Matekelezo kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF akijibu swali juu ya Mkopo wa Nyumba na Viwanja kutoka katika mfuko huo.
Afisa Matekelezo kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Penzila Kaisi akiwaelezea watu mbalimbali waliofika katika meza yao huduma bora kwa wateja zitolewazo kutoka katika mfuko huo.
Afisa Mwendeshaji kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Hadji Jamadary (Kushoto) akimkabidhi kadi ya uanachama wa PSPF kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari PSS Bw. Anthony Masha
Baadhi ya watu wakiendelea kupata maelezo yakina kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF na kujiunga na Mpango wa uchangiaji wa hiari PSS
Afisa Msaidizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Mohamed Farijallah akitoa maelezo kwa watu mbalimbali waliofika katika sehemu yao
Baadhi ya watu mbalimbali waliofika katika Maonesho ya Airtel Bazar wakiendelea kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF kupitia uchangiaji wa Hiari PSS
Angelyn Kombe Afisa Matekelezo Msaidizi kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF akielezea faida za kujiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari PSS ikiwa ni pamoja na Bima ya Afya ya NHIF kwa gharama nafuu
Mmoja ya watu akipata maelekezo juu ya kujiunga na uanachama wa mfuko wa Pensheni wa PSPF kupitia mpango wa uchangiaji wa Hiari PSS
Ma Afisa kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF wakiendelea na usajili kwa wanachama wapya wa PSPF kupitia mpango wa uchangiaji wa Hiari PSS

Afisa Mwendeshaji kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Hadji Jamadary akimpiga picha mmoja wa Mwanachama mpya aliyejiunga na Mfuko huo kupitia uchangiaji wa hiari PSS
Afisa Matekelezo kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Albert Feruzi akimwelezea mmoja wa wanachama wapya aliyejiunga na mpango wa uchangiaji wa Hiari Mikopo inayotolewa na Mfuko huo ikiwa ni pamoja na Mkopo wa Elimu,Mkopo wa Mwajiliwa mpya na mikopo mingineyo.