Taswira Katika Taifa:Naibu Waziri wa Maji, Dkt. Binilith Mahenge Akisafiri kwa Boti Kutoka Kigoma Mjini Kwenda Kagunga Naibu Waziri wa Maji, Dkt. Binilith Mahenge  (wapili kulia) akizungumza na Irene Bwire Mwandishi wa Waziri Mkuu wakati akisafiri kwa boti kutoka Kigoma mjini Kwenda Kagunga . Mheshimiwa Mahenge alifuatana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye ziara ya Mkoa wa Kigoma Oktoba 1, 2013.
Naibu Waziri wa Maji, Dkt. Binilith Mahenge  (wapili kulia) akisafiri kwa boti kutoka Kigoma mjini Kwenda Kagunga . Mheshimiwa Mahenge alifuatana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye ziara ya Mkoa wa Kigoma Oktoba 1, 2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu